Ni mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofanya poa sana katika music
industry hapa Tanzania na kupelekea kupata fans wengi kila kukicha, hapa
anatuelezea style
1.Unaweza ukatuelezea kuhusu style zako?
Napenda kujiweka simple katika mwili wangu bila kuwa na vikorokoro kibao may be utanikuta na miwani, saa na hereni na kama ni nguo napenda kuvaa different styles it depend na wapi
↧