Ni muda mrefu kidogo baada mwigizaji Mtanzania Jaqueline Wolper kutosikika akiyatoa ya moyoni kuhusu yote yaliyompata kwenye miezi
iliyopita na kumfanya amiliki sana headlines za magazeti, blogs, website
pia facebook na twitter huku wengi wakiwa na hamu ya kusikia
akiyaongelea.
Kwenye Exclusive interview na mtangazaji Sporah wa The Sporah show,
Jack amekanusha kwamba yeye ni
↧