Msanii wa muziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior
amekanusha habari zilizoandikwa na gazeti moja la udaku kuwa
anamloga Diamond.
Amesema hawezi Kufanya kitu kama hicho na Diamond atabaki kama Diamond na yeye kama yeye.
“Niupu…vu kuandika kitu kama hicho, nani mambo ya ki..nge,mimi
nimekasirika sana,huwezi andika kitu kama hicho. Hivi mimi naweza
nikamloga Diamond,
↧