MTANGAZAJI aliyepata kuwika katika vituo mbalimbali
vya runinga Bongo, Maimartha Jesse, amedaiwa kuwauzia mastaa wa mjini
dawa za kuongeza makalio.Habari za moto kutoka kwa chanzo cha kuaminika,
zinasema kuwa Maimartha ambaye pia huitwa Mai amefikia hatua hiyo baada
ya yeye kutumia na kufanikiwa.
“Hamshangai siku hizi kila staa anaonekana kuwa na makalio makubwa?
Ni kazi ya Mai hiyo
↧