MWANADADA wa muda mrefu kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika
wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za
kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.
Akiongea nasi, Nora alisema amekuwa akitembelea katika ofisi mbalimbali na kila anapojitambulisha kwamba ni msanii wa filamu watu wanashtuka
na sehemu nyingine anakosa dili za maana kutokana na
↧