WAKATI msanii wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwa sasa na kujizolea tuzo 7 alizokuwa anawania kupitia Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014, Naseeb Abdul 'Diamond akiibuka shujaa Mlimani City jijini Dar ambako hafla hiyo ya utoaji tuzo ilifanyika, usiku huo ulikuwa mbaya kwa mpenzi wake wa zamani,Jokate Mwegelo ambaye huenda alijuta kufika
↧