Serikali imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia
Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza
kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo utafanyika bila kupatikana
kwa Katiba Mpya la sivyo Kambi Rasmi ya upinzani haitashiriki.
Hayo yalielezwa jana na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya
Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe alipokuwa akitoa hotuba ya kambi
↧