Jose Chameleone amekasirika. Baada ya miaka mingi kutengeneza video za
kawaida tu zilizokuwa zinashindwa kupewa nafasi kwenye vituo vikubwa vya
runinga kama Trace TV au MTV Base, staa huyo wa Uganda ameachia video
ya wimbo wake ‘Gimme Gimme’ yenye utofauti kidogo. Itazame hapa.