DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka
zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu
uchi ili kuendana na soko la kimataifa.
Akitetea
hoja yake mbele ya mwandishi wetu, staa huyo aliyeitendea haki filamu ya
Foolish Age alitolea mfano Tamthiliya ya Shuga iliyomtoa Lupita Nyong’o
ambayo alicheza akiwa nusu utupu.
“Wanasema
↧