Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa salamu
za rambirambi na pole nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Goodluck
Jonathan na wananchi wa Nigeria kufuatia mfululizo wa vitendo vya ugaidi
ambavyo vimepoteza maisha ya maelefu ya wananchi wa nchi hiyo na kutekwa nyara
kwa mamia ya watu wakiwemo wanafunzi wa kike wa sekondari.
Katika
↧