Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini kuwapo kwa
wanafunzi wanaopatiwa mikopo katika vyuo vitano nchini licha ya kufeli
au kuahirisha masomo yao.
Kwa mujibu wa taarifa ya CAG ya ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka
wa fedha 2012/13, mikopo ya kiasi cha Sh. milioni 201.5 ilitolewa kwa
wanafunzi hao.
Taarifa hiyo imevitaja baadhi ya vyuo na kiasi cha fedha
↧