Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka
kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa
ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia
aliyekuwa bwana’ke, Clement au CK.
MIL. 13 KISINGIZIO TU Habari za mjini kwa wiki
nzima ni kusambaa kwa ujumbe mfupi (SMS) za kimapenzi za Kajala na CK
ambazo sasa zimefunua kisa
↧