Dereva wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Juma
Juma (52), amefariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye nyumba ya
kulala wageni akiwa na mwanamke ambaye imedaiwa ni mhudumu wa baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela
alisema tukio hilo lilitokea Mei 3, saa 4:00 usiku chumba kwenye Na.
S.2 cha nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Top Life
↧