JESHI
la Polisi mkoa wa Singida limefanikiwa kumkamata dereva wa basi la
Summry T.799 BET, Paul Njilo mkazi wa jijini Dar-es-salaam aliyegonga
askari polisi wanne na wananchi 15 na kusababisha vifo vyao.
Ajali
hilo ilitokea Aprili 28 saa 2.45 usiku katika babara kuu ya
Singida-Dodoma eneo la kijiji cha Utaho tarafa ya Ihanja wilaya ya
Ikungi mkoani Singida.
Kamanda
wa Jeshi la
↧