Masikini Ray C, augua ghafla, alazwa
MWANAMUZIKI mwenye sauti ya mvuto, Ray C, amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam akikabiliwa na homa kali. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika...
View ArticleHizi ni Picha Za Tattoo Mpya Ya Agnes Masogange aliyoichora chini ya maziwa yake
Video queen maarufu Tanzania Agness Masogange uliyemuona hvi karibuni kwenye video ya Tunda Man ft Ali Kiba, Msambinungwa ameongeza tattoo nyingine kwenye mwili wake iliyoko chini ya maziwa...
View ArticleChama cha akina Zitto Kabwe ( ACT-Tanzania ) chapata usajili wa...
CHAMA cha siasa cha Alliance for Change and Transparency ( ACT-Tanzania ) ambacho kinatajwa kuasisiwa na mwanasiasa machachari, Zitto Kabwe na vigogo wa zamani wa CHADEMA, jana...
View ArticleTaarifa ya jeshi la polisi mkoani Mwanza kuhusiana na Bomu lililolipuka ndani...
Mmoja wa majeruhi wa bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana saa mbili usiku....
View ArticleKumbe Nay wa Mitego ndiye aliyevunja ndoa ya Skaina iliyodumu kwa mwezi mmoja...
SASA hakuna ubishi kuwa, ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na Saad Omar, chanzo ni Mwanabongo Fleva, Emmanuel...
View ArticleAnti Lulu: "Najuta kumvulia nguo Amani, sikujua kama ana wivu mkubwa kiasi hiki"
MSANII wa filamu Bongo,Lulu Semagongo 'Aunty Lulu' anadai kuwa anajuta kumvulia nguo mwandani wake aliyemtaja kwa jina la Amani ambaye hivi karibuni alimshushia kipigo kikali...
View ArticleMbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho...Baraza hilo litawajumuisha wabunge...
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri. Kwa mara ya kwanza tangu Uchaguzi Mkuu uliopita wa 2010 na baadaye kuzinduliwa kwa Bunge la 10,...
View ArticleUchaguzi Serikali za Mitaa watengewa Sh5 bilioni
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana aliwasilisha bungeni, bajeti ya ofisi yake na mfuko wa Bunge inayofikia Sh5.21 trilioni. Kati ya hizo, Sh5 bilioni zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
View ArticleVai wa Ukweli ameshindikana.....Afumwa akifanya mambo ya aibu mbele ya...
Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu msanii wa Tasnia ya Filamu anayejulikana kwa jina la Isabella Francis 'Vai wa Ukweli' kuripotiwa kujiuza, sasa msanii huyo amekumbwa na kashfa...
View ArticleIsabela, Luteni Karama mahaba hadharani....Mpambe wetu awanasa wakidendeka...
Wasanii wasioishiwa vituko Tanzania, Miss Ruvuma 2005 Isabela Mpanda na Luteni Karama wameonekana katika viwanja mbalimbali vya burudani wakipeana mahaba momoto na kudai kuwa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatano ya tarehe 7 May 2014
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 7 May 2014
View ArticleRay C apata nafuu, aruhusiwa kutoka Hospitali
Mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, ametoka katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa. Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya...
View ArticleMsanii nyota wa kike, Keisha ajifungua mtoto wa pili wa kiume..."Namshukuru...
Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Akizungumza...
View ArticleVurugu kubwa Kibaigwa mkoani Dodoma.....Gari la mbunge lapigwa mawe, Maduka...
Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya...
View ArticleMahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha wavua nguo kupinga wenzao kuachiwa
Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, jana walizua tafrani katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini hapa, baada ya kuvua nguo na kugoma kushuka kwenye basi wakipinga kitendo cha...
View ArticleDr Cheni alazwa hospitali kutokana na ugojwa wa Dengue
Msanii wa filamu nchini, Dr Cheni amelazwa toka jana katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa Dengue. Akizungumza nasi leo Dr Cheni amesema kuwa bado hali yake sio...
View ArticlePicha za basi la Princes Muro lililopata Ajali Mikumi Mkoani Morogoro leo
BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza...
View ArticleMagazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 8 May 2014
Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 8 May 2014
View ArticleMwanamke Azalia kwenye ndoo na kukitupa kichanga chooni.....Polisi wamtia...
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed, mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye ndoo...
View ArticleNafasi za Mafunzo na kazi toka RafikiElimu Foundation......Baada ya mafunzo...
Taasisi Ya RafikiElimu FOUNDATION inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA TAASISI ZISIZO KUWA ZA KISERIKALI. ( NGO MANAGEMENT & OPERATION ) kwa waombaji...
View Article