Msanii wa filamu nchini, Dr Cheni amelazwa toka jana katika hospitali
ya Buruhani jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa Dengue.
Akizungumza nasi leo Dr Cheni amesema kuwa bado hali yake sio nzuri kutokana na kuishiwa damu na mwili kupoteza nguvu.
“Bado ni nipo hospitali ya Buruhani naumwa hili gonjwa jipya,sijui
unaitwa Dengue,” amesema. “Bado hali yangu sio nzuri
↧