Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, jana walizua tafrani
katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini hapa, baada ya kuvua
nguo na kugoma kushuka kwenye basi wakipinga kitendo cha watuhumiwa
wawili wa dawa za kulevya kuachiwa kinyemela.
Watuhumiwa wanaolalamikiwa ambao mashtaka yao
yalibadilishwa mara mbili ili wapewe dhamana ni Dharam Patel (26) na
Nivan Patel (20)
↧