MWANAMUZIKI mwenye sauti ya mvuto, Ray C, amelazwa katika
hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam akikabiliwa na homa kali.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mwanamuziki huyo
ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya
hospitalini hapo, alifikishwa hapo jana Jumatatu asubuhi na baadhi ya
madaktari walibainisha kuwa Ray C anasumbuliwa na ugonjwa wa dengue
↧