Ama kweli kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke imara.Hili limejidhihirisha mwishoni mwa wiki iliyopita wakati msanii kiwango wa bongo fleva Naseeb Abdul 'Diamond Plutnumz' alipoweka rekodi ya msanii aliyechukua tuzo nyingi za Kili Music tangu tuzo hizo zianzishwe.....
Diamond akiwa ameongozana na mpenzi wake Wema Sepetu kwenye
↧