Mume wa Jack Patrick alinasa penzi la Miss Tanzania 2011, Salha Israel.
Mume wa Jack Patrick akiwa na Salha Israel. ********** Mume (bado talaka) wa mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa yuko korokoroni Macau nchini China kwa msala wa kukamatwa na unga, Jacqueline...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 5 April 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 5 April 2014
View ArticleSMS za Ngono za Lulu zanaswa....Alikuwa akimtumia kigogo mume wa mtu, Mke...
"Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mienendo ya mume wangu kutokana na tabia yake kubadilika sana siku za hivi karibuni, nikabaini kuwa kuna msichana anawasiliana naye kwa...
View ArticleSiri yafichuka : Juma Nature na Jokate Mwegelo wanatafuta Kick....Lengo...
Mgogoro unaodaiwa kuwepo kati ya Juma Nature na Jokate Mwegelo inasemekana ni kamba za mchana na kwamba hilo ni dili linachezwa na wawili hao ili kupandisha chati kandambili...
View ArticleMganga wa Diamond atoboa siri nzito juu ya tuzo 7 za Kili Music Awards 2014...
Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambaye aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana kubwa sana kwenye kazi zake...
View ArticleMiongoni mwa stori zilizobamba wikiendi hii ni hii ya huyu mamba mkubwa...
Miongoni mwa stori za mjini zilizobamba wikiendi hii ni hii ya Mamba kuuawa Block 41 Kinondoni Dar es salaam kwenye eneo ambalo wanaishi watu kadhaa maarufu wa Tanzania akiwemo Kalapina wa kikosi...
View ArticlePadri wa kanisa Katoliki na Katekista wafariki dunia katika ajali ya gari...
Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo katoliki la Mpanda akibusu Ardhi katika kijiji cha Kamsisi ikiwa ni ishara ya kuhamia rasmi kuliongoza jimbo la Mpanda akitokea jimbo katoliki la Dodoma Askofu...
View ArticleKinana afuta nyayo za UKAWA Zanzibar, maelfu ya wananchi wahudhuria mkutano...
Umati wa wananchi uliohudhuria mkutano huo Wazanzibar wanasema Serikali mbili zinawatosha Wananchi wakishangilia na kuonesha vidole kuunga mkono serikali mbili za Muungano wakati wa...
View ArticleKilio cha produza wa Diamond...."Kwa nini KTMA wameninyima tuzo wakati...
Kama ilivyo siku zote yanapofanyika mashindano lazima kuwe na pande mbili, moja ikiwa ni ya wale watakaofurahia matokeo kutokana na kushinda na upande wa wale ambao hawatafurahia kutokana na...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni...
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha. Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari...
View ArticleHivi ni vielelezo vya mabadiliko ya uelekeo wa daladala jijini Dar.....Bofya...
Kielelezo kinaonyesha mabadiliko jinsi daladala zinazoingia katikati ya jiji kutokea barabara ya Morogoro.... Kielelezo kinachoonyesha mabadiliko jinsi daladala zinazoingia katikati...
View ArticlePicha za mazishi ya sheikh Ilunga Hassan Kapungu aliyefariki dunia usiku wa...
Maalim Seif akishiriki katika mazishi ya Sheikh Ilunga Shekh Hassan Kapungu yaliofanyika katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni Dar es Salaam Sheikh Ilunga Shekh Hassan Kapungu enzi za uhai wake...
View ArticleAJALI: Tanki la mafuta lalipuka moto maeneo ya Shelui mkoani Singida...
Msururu wa magari ukiwa mkubwa katika eneo hilo baada ya kushindwa kupita kutokana na moto mkubwa uliokuwa ukiwaka. Wananchi na wasafiri mbalimbali wakitoka kuangalia tukio hilo. Askari wa usalama...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 6 May 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 6 May 2014 <!-- adsense -->
View ArticleBunge la Bajeti linaanza leo na hizi ni posho mpya walizoongezewa wabunge hao
Baada ya kuhairishwa kwa Bunge la maalum la Katiba,Bunge la bajeti linaanza leo Mei 06 Dodoma ambapo wabunge wanatarajiwa kuanza kulipwa viwango vipya vya posho ambapo itakua ni shilingi 300,000 kwa...
View ArticleMabinti wajiuza kwa sh. 2000/= bustanini.....sh. 5000/= kinyume na maumbile...
BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu, utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza miili yao nyakati za...
View ArticleFreemasons nyuma ya ajali ya basi la Summry iliyoua watu 19
IMANI ya kuabudu inayotiliwa shaka duniani ya Freemason imetajwa kuwa nyuma ya pazia la ajali mbaya ya Basi la Sumry iliyotokea katika Kijiji cha Ulyampiti mkoani Singida mwanzoni mwa wiki iliyopita na...
View ArticleYaliyojiri leo Bungeni: Wabunge wapya Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa...
Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh....
View ArticleKiongozi wa Boko Haram asema atawauza wanafunzi wa kike aliowateka...
Hofu inazidi kutanda nchini Nigeria na matumaini ya kuwapata wanafunzi wa kike zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram yanapungua baada ya kiongozi wa kundi hilo kutangaza kuwa amepanga...
View ArticleDiamond kunyakua tuzo 7 za KTMA ....Imebainika Wema Sepetu ndo HIRIZI yake,...
Ama kweli kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke imara.Hili limejidhihirisha mwishoni mwa wiki iliyopita wakati msanii kiwango wa bongo fleva Naseeb Abdul 'Diamond...
View Article