BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu, utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza miili yao nyakati za usiku kwenye baadhi ya barabara za katikati ya mji na bustani za kupumzikia.
Wamesema hatua hiyo, itasaidia kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelezwa bila woga na kudhibiti kasi ya ongezeko
↧