IMANI ya kuabudu inayotiliwa shaka duniani ya Freemason imetajwa kuwa
nyuma ya pazia la ajali mbaya ya Basi la Sumry iliyotokea katika Kijiji
cha Ulyampiti mkoani Singida mwanzoni mwa wiki iliyopita na kusababisha
vifo vya watu 19, wakiwemo polisi wa usalama barabarani wanne.
Habari za uhakika kutoka kijijini hapo zinasema siku moja baada ya
ajali hiyo mbaya, basi moja linalosafiri
↧