UKAWA waanza mivutano...baadhi wataka kurejea bungeni, yapo madai ya kutolewa...
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake...
View ArticleMbowe kupangua mawaziri bungeni ili kushirikisha viongozi wengine wa vyama...
KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema anatarajia kuvunja na kuunda upya Baraza la Mawaziri Vivuli, litakaloshirikisha viongozi wengine wa vyama vya upinzani, wanaounda...
View ArticlePendo Joachim, mkazi wa Shinyanga afungwa jela mwaka mmoja kwa kosa la...
MAHAKAMA ya Mwanzo Old Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga, imemhukumu Pendo Joachim (33) mkazi wa kijiji hicho, kutumikia kifungo cha nje cha mwaka mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Sh milioni...
View ArticleAngel Kisoga aweka wazi mipango yake ya kufanya fashion....."Umbo langu...
Mrembo aliyewahi kutinga Top ten Miss Tabata 2012 Angel Kisoga ambaye hivi sasa ana-hit kwenye video ya Lady Jaydee ‘Joto Hasira’ na kichupa cha Bagdad ‘Nishida’ ameweka wazi mipango yake ya...
View ArticleHamisa Mabeto atishia maslahi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.... Mvuto...
Mwanamitindo maarufu nchini, Hamisa Mabeto ametishia maslahi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie baada ya kujitosa rasmi kwenye tasnia hiyo na kung’ara katika Filamu ya VIP akiwa na mastaa, Vincent...
View ArticleShilole ashauriwa kuachana na "CHUNA BUZI"....Marafiki wadai litamchafua...
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amebadilisha jina la Hoteli yake mpya anayotarajia kuifungua maeneo ya Mwananyamala.Awali jina la Hoteli hiyo aliiita Chuna Buzi Hotel lakini...
View ArticleHuyu ni shemeji yangu kabisa, mke wa kaka yangu....Lakini utani wake...
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji...
View ArticlePicha za msiba wa mfanyakazi wa IKULU aliyefariki dunia siku ya sherehe za...
Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake. Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Mke wa Rais Mama Salma...
View ArticleMagazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 3 May 2014
Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 3 May 2014 <!-- adsense -->
View ArticleRayuu asaka mume wa kumuoa....Kama upo single, kazi kwako mdau
Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi “Rayuu” amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera...
View ArticleRipoti ya polisi wa Kenya kuhusu gari la Freeman Mbowe kukamatwa nchini humo...
Kwenye magazeti ya April 30 2014 Tanzania miongoni mwa stori kubwa ilikua ni hii ya kukamatwa kwa gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ambae pia ni mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na...
View ArticleTaarifa ya IKULU: Rais Kikwete aunda Tume kuchunguza mwenendo wa Operesheni...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais aunda Tume kuchunguza mwenendo wa Operesheni Tokomeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi (Commission...
View ArticleTazama LIVE Online Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 toka katika...
Hii ni LIVE Video ya hafla ya kilele cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 zinayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwatuza wasanii, vikundi, watunzi...
View ArticleLive kutoka Mlimani City katika tuzo za Kili Tanzania Music Awards...
Picha za RED CARPET <!-- adsense -->
View ArticleHawa ndo washindi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014
Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake. Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka, Young Killer akiwashukuru mashabiki baada ya kutwaa tuzo. ********************** 1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA...
View ArticleDiamond atwaa tuzo 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 usiku...
Damond akikumbatiana na mpenzi wake Wema kabla ya kukabidhiwa tuzo. Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu . Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake Mshindi...
View ArticleWaethiopia 55 wanaswa kichakani Himo,Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro
Waethiopia 55 wamekamatwa na wanakijiji cha Chekereni Pabliki kilichopo Himo, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wakiwa wamejificha kichakani na mkazi mmoja wa kijiji hicho. Kamanda wa Polisi mkoani...
View ArticleWema Sepetu atoa neno tamu kwa Diamond......"I must say Iam a proud wife to...
Msanii wa filamu hapa Tzee Wema Sepetu aka Mrs. Ngololo, siku ya jana usiku aliweza kuelezea furaha yake kwenye tuzo za Kili Music Awards 2014 baada ya Diamond Platnumz aka Mr. Ngololo kupokea tuzo...
View ArticleMgambo wa manispaa ya Arusha wakimsulubu muuza miwa
Hawa ni mgambo wa manispaa ya arusha wakiwa wamemnyang'anya mfanyabiashara mdogo miwa yake na kuondoka nayo wakidai anafanya biashara eneo lisilo rasmi.Kweli hapa tutaendelea na je huyo kijana haki...
View ArticleMtoto afariki dunia baada ya kunajisiwa mkoani Geita....Mtuhumiwa alisema...
Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kalangalala, mjini Geita, amefariki dunia baada ya kunajisiwa na mtu asiyejulikana nyumbani kwao, usiku wa kuamkia juzi. Tukio hilo ni mwendelezo...
View Article