Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Mgambo wa manispaa ya Arusha wakimsulubu muuza miwa

$
0
0
Hawa ni mgambo wa manispaa ya arusha wakiwa wamemnyang'anya mfanyabiashara mdogo miwa yake na kuondoka nayo wakidai anafanya biashara eneo lisilo rasmi.Kweli hapa tutaendelea na je huyo kijana haki yake ataipata wapi ikiwa wamechukua miwa yake na kuondoka nayo na hajui wataipeleka wapi au ndo kugawana. <!-- adsense -->

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>