Msanii wa filamu hapa Tzee Wema Sepetu aka Mrs. Ngololo, siku ya jana usiku
aliweza kuelezea furaha yake kwenye tuzo za Kili Music Awards 2014 baada
ya Diamond Platnumz aka Mr. Ngololo kupokea tuzo saba na kusema “I
must say Iam a proud wife to be….. I am very proud of my baby” kwa kauli
hiyo ilifanya watu kutoa shangwe za kutosha kwa kukubaliana na hali
halisi ya mwanadada huyo.
↧