Waethiopia 55 wamekamatwa na wanakijiji cha Chekereni Pabliki
kilichopo Himo, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wakiwa wamejificha
kichakani na mkazi mmoja wa kijiji hicho.
Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz,
amethibitisha kutokea tukio hilo na kwamba watu hao walikamatwa ...
“Wanakijiji walitoa taarifa polisi baada ya kuwaona watu hao, na sisi
tulifika mara moja
↧