Damond akikumbatiana na mpenzi wake Wema kabla ya kukabidhiwa tuzo.
Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu .
Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake
Mshindi wa tuzo saba (7) za Kilimanjaro Music Awards, Diamond Platnumz akiwa katika pozi na mpenzi wake Wema Sepetu.
Msanii mwingine aliyeshangaliwa zaidi katika usiku wa tuzo hizo ni Fid
↧