Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake.
Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka, Young Killer akiwashukuru mashabiki baada ya kutwaa tuzo.
**********************
1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi, Dar Bongo Massive
2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer
3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee
4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond
↧