Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kalangalala,
mjini Geita, amefariki dunia baada ya kunajisiwa na mtu asiyejulikana
nyumbani kwao, usiku wa kuamkia juzi.
Tukio hilo ni mwendelezo wa vitendo vya ukatili,
mateso na udhalilishaji dhidi ya watoto ulio kinyume na Sheria ya Mtoto
ya Mwaka 2009, inayoeleza kwamba mtoto anapaswa kulindwa na kuthaminiwa.
Kamanda wa
↧