Mume wa Jack Patrick akiwa na Salha Israel.
**********
Mume (bado talaka) wa mwanamitindo maarufu Bongo
ambaye kwa sasa yuko korokoroni Macau nchini China kwa msala wa
kukamatwa na unga, Jacqueline Fitzpatrick Cliff, Abdulatif Fundikira
‘Tifu’ anadaiwa kumnasa kimahaba Miss Tanzania 2011, Salha Israel.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Tifu, wawili hao hivi sasa wako
kwenye ‘
↧