Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu
umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko
yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu
nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.
“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini” Nikamwambia leo sina kitu
wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema
↧