Marehemu
Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake.
Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa nyumbani kwa marehemu Mabibo jijini Dar es salaam.
Mama
Salma Kikwete akijumuika na wafiwa katika kuomboleza msiba nyumbani kwa
marehemu Rashidi Chilangwa
↧