Mwanamuziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amebadilisha jina
la Hoteli yake mpya anayotarajia kuifungua maeneo ya Mwananyamala.Awali
jina la Hoteli hiyo aliiita Chuna Buzi Hotel lakini baada ya ushauri
sasa anaipa jina la Igunga One Restaurant.
“Nimeamua
kubadili jina baada ya kushauriwa na rafiki zangu, maana jina la kwanza
lilikuwa na utata, na hata lilikuwa na maswali
↧