Mwanamitindo maarufu nchini, Hamisa Mabeto ametishia maslahi ya
wasanii wa kike wa Bongo Movie baada ya kujitosa rasmi kwenye tasnia
hiyo na kung’ara katika Filamu ya VIP akiwa na mastaa, Vincent Kigosi
‘Ray’ na Jacqueline Wolper.
“Wasanii wajiangalie nafasi zao baada ya Mabeto kuingia kwenye filamu
maana ndani ya VIP amekamua sana na wasipokuwa makini atawasumbua
kutokana na mvuto
↧