Mrembo aliyewahi kutinga Top ten Miss Tabata 2012 Angel Kisoga ambaye hivi sasa ana-hit kwenye
video ya Lady Jaydee ‘Joto Hasira’ na kichupa cha Bagdad ‘Nishida’ ameweka wazi mipango yake ya kufanya fashion katika kampuni yoyote inayohusika na u model
Akizungumza na Mpekuzi wetu juzi kati, Angel alisema anapenda sana fashion na anatamani siku moja apate shavu
↧