MAHAKAMA ya Mwanzo Old Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga, imemhukumu Pendo Joachim (33) mkazi wa kijiji hicho, kutumikia kifungo cha nje cha mwaka mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Sh milioni moja.
Amepewa adhabu hiyo baada ya kupatikana na kosa la kusingizia mtoto kwa mwanamume mwingine ili apate pesa za matumizi.
Akisoma hukumu hiyo, Hakimu wa Mahakama hiyo, Christian
↧