Kwenye magazeti ya April 30 2014 Tanzania miongoni mwa stori kubwa
ilikua ni hii ya kukamatwa kwa gari la kiongozi wa kambi rasmi ya
upinzani bungeni ambae pia ni mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na
maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ambapo baadhi ya vichwa vya habari
vilisema ni kutokana na kuhisiwa kutumika kwa ugaidi.
Mtangazaji Millard Ayo amepata nafasi ya kuzungumza na msemaji
↧
Ripoti ya polisi wa Kenya kuhusu gari la Freeman Mbowe kukamatwa nchini humo likihusishwa na ugaidi
↧