TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais aunda Tume kuchunguza mwenendo wa Operesheni Tokomeza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi (Commission Inquiry)Kuhusu Vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.
Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam jioni ya Mei
2, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
↧