Hii ni LIVE Video ya hafla ya kilele cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 zinayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwatuza wasanii, vikundi, watunzi na wandaaji wa muziki waliofanya vizuri mwaka 2013.