Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi “Rayuu” amefunguka na
kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa
kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana
kwa sasa yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa jinsi wanavyoishi
na wanaume zao basi na yeye anatamani sana maisha hayo.
"Natafuta mwanaume wa kuniweka ndani ambaye
↧