Mkurugenzi Idara ya Habari Assah Mwambene atoa ufafanuzi juu ya tuzo ya...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka kwa kuwa alistahili kupewa kama viongozi wengine na kuwa kitendo hicho...
View ArticleTaswira za mkutano wa UKAWA katika viwanja vya Kibanda Maiti mjini Unguja,...
Viongozi wa Wajumbe wa kundi la UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) ndani ya Bunge Malaum la Katiba, wamehutubia maelfu ya watu waliohudhuria mkutano wao katika viwanja vya Kibanda Maiti mjini Unguja,...
View ArticleWema Sepetu na Diamond wanaswa wakidendeka hadharani....
MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, walijikuta wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka barabarani......
View ArticleWaziri wa fedha: Bajeti ya mwaka 2014/ 2015 ni sh. 19.6 Trilioni....Matumizi...
Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita. Vipaumbele vya Bajeti hiyo ni kuendeleza Mpango wa Maendeleo wa...
View ArticleRais Kikwete kuhutubia wafanyakazi leo katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi...
Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta),...
View ArticleGari la Mbowe lakamatwa nchini Kenya likihisiwa kuhusika na UGA*DI nchini...
GARI la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, limekamatwa na kuendelea kushikiliwa mjini Mombasa nchini Kenya, kutokana na kuwa na namba mbili. Taarifa za jana kutoka Kenya...
View ArticleSherehe za Mei mosi jijini Mwanza:....Wafanyakazi waomba kodi ipunguzwe
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo...
View ArticleRay afunguka: "Msiniingilie maisha yangu ya Mapenzi...Mbona ninyi mnafanya...
Msanii wa filau, Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa anashindwa kuelewa ni kwa nini baadhi ya wanawake wamekuwa wakishabikia mahusiano yake wakati yeye hana habari nao wala...
View ArticleLulu Michael ashambuliwa baada ya kupost mtandaoni picha ya Rihanna akiwa...
Muigizaji wa bongo movies Elizabeth ‘Lulu’ Michael ambaye huonesha wazi jinsi anavyompenda Rihanna na hata kupozi kwenye jarida la VibeTz kama Rihanna kwenye jarida la GQ, amejikuta katika wakati mgumu...
View ArticlePicha: Victoria Kimani akianika kifua chake kisiwani Mbudya
Victoria Kimani aliamua kuyafaidi maji ya bahari ya Hindi kisiwani Mbudya, Dar es Salaam kwa kuyaoga bila kuvaa kitu chochote cha kusitiri mat*ti maziwa yake na kwakuwa Mungu kamjalia ‘bo***bs’ za...
View ArticleRay C akanusha kurudiana na Mwisho Mwampamba ‘he is happily married, am...
Rehema Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti la Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili...
View ArticleMagazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 2 April 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 2 April 2014
View ArticleKajala amcharukia Wema Sepetu......Asema hana mpango wa kumlipa zile milioni...
Zile shilingi milioni 13 alizolipa staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ mahakamani ili kumnusuru Kajala Masanja kwenda gerezani, zinaendelea kusababisha fukuto na sasa...
View ArticleUKAWA waendelea na Kampeni yao Pemba
Kiongozi wa UKAWA Freeman Mbowe, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia, akihutubia katika mkutano wa...
View ArticleRais Kikwete awataka wabunge kuhakikisha katiba inapatikana ndani ya siku 60...
Rais Jakaya Kikwete, amesema iwapo siku 60 za nyongeza zitakwisha bila wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kufikia maridhiano na kupata Katiba mpya, hakutakuwa na nyongeza nyingine ya muda. Rais Kikwete...
View ArticleHii ni video nyingine toka Kenya iliyofungiwa kuchezwa kwenye TV kutokana na...
Mpaka sasa video hii imetazamwa zaidi ya mara laki moja na elfu 30 kwenye mtandao wa Youtube toka ianze kuonyeshwa April 29 2014 ikiwa ni video ya kipekee na ya kiwango kingine cha juu tofauti na...
View ArticleJack Wolper arudisha penzi kwa Ali Kiba
"Hakuna kitu kama hicho, hayo ni maneno tu ya watu.Mimi na Ali Kiba ni kama dada na kaka, hakuna linaloendelea.Kifupi ni kwamba huyo Kiba mwenyewe sijaonana nae muda mrefu...
View ArticleMatukio katika picha Diamond Platnumz akiwasili Mtwara kwa burudani kali...
Matukio katika picha Diamond Platnumz akiwasili Mtwara kwa burudani kali jioni ya leo. <!-- adsense -->
View ArticleNdoa ya Aunt Ezekiel Chali....Mume atupwa Jela, Aunt aponda raha....Yadaiwa...
Habari za mjini zinadai kuwa, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel yuko Dubai akiponda raha huku mumewe, Sunday Demonte akidaiwa kuwa jela jijini Abu Dhabi katika nchi za Falme za Kiarabu (UAE)....
View Article