Msanii wa filau, Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa anashindwa kuelewa ni kwa nini baadhi ya wanawake wamekuwa wakishabikia mahusiano yake wakati yeye hana habari nao wala hajawahi kufuatilia mambo yao....
Alisema kuwa kutokana na hilo sasa anaamua kufanya mambo yake kimya kimyan kwani baadhi ya wasanii wa kike wamekuwa na tabia ya kuingilia
↧