Muigizaji wa bongo movies Elizabeth ‘Lulu’ Michael ambaye huonesha
wazi jinsi anavyompenda Rihanna na hata kupozi kwenye jarida la VibeTz
kama Rihanna kwenye jarida la GQ, amejikuta katika wakati mgumu baada ya
kupost picha ya nusu uchi ya mwimbaji huyo kwenye Instagram.
April 29 Lulu alipost picha ya Rihanna aliyekava jarida la Lui
akiwa amepozi na ameacha maziwa yake wazi
↧