"Hakuna kitu kama hicho, hayo ni maneno tu ya watu.Mimi na Ali Kiba ni kama dada na kaka, hakuna linaloendelea.Kifupi ni kwamba huyo Kiba mwenyewe sijaonana nae muda mrefu sana"
Huo ni utetezi wa Wolper baada ya madai kwamba wamerudisha penzi lao lililokufa miaka mingi iliyopita na kwamba wawili hao hivi sasa wamekuwa wakikutana kwa siri
↧