Zile shilingi milioni 13 alizolipa staa mkubwa wa kike Bongo, Wema
Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ mahakamani ili kumnusuru Kajala Masanja
kwenda gerezani, zinaendelea kusababisha fukuto na sasa Kajala amejibu
mapigo, akisema hatamlipa Wema fedha hizo.
Wema na Kajala wapo kwenye gogoro zito kwa muda mrefu huku mashabiki
wa mastaa hao waliojipa majina ya Team Wema (wanaomuunga mkono
↧