Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema
Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka
kwa kuwa alistahili kupewa kama viongozi wengine na kuwa kitendo hicho si kumkejeli kama baadhi ya
vyombo vya habari vilivyoripoti hivi karibuni.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi huyo wakati
akizungumza na waandishi wa habari kuhusu suala hilo katika
↧