Rehema Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti la
Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye
shindano la Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili hao
waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita.
Kupitia Instagram Ray C ameandika: Sijamuona Mwisho na Kama mwaka
wa Sita huu!!!udaku Mwingine umezidi kwakweli sipendi……..He is
↧