MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006,
Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, walijikuta
wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka barabarani...
Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi
karibuni maeneo ya Bamaga- Mwenge jijini Dar es Salaam...
ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo,
↧