Serikali
imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6
trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.
Vipaumbele
vya Bajeti hiyo ni kuendeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano
ulioanza mwaka 2011 na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao
unajumuisha maeneo sita ya kitaifa ya kilimo,
↧