Wakati
Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha
Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limeitaka Serikali
kupandisha kima cha chini hadi kufikia Sh750,000.
Katibu
Mkuu wa Tucta, Nicolas Mgaya alisema jana kuwa
↧